Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole
Bwana yesu asifiwe![emoji53][emoji53][emoji53]Shangazi wa nani?
Jesus is my saviour and a friend
Leo pumzika tafadhali.....waachie wenzio nao walinde uzi wetu,maana mwishowe utazimika lol....![emoji12] [emoji12]Hadi ikifika 06:00hrs nitakuwa nimefikisha zaidi ya masaa 30 bila kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unakosa usingizi?Kila mtu ana stori katika maisha yake akikwambia unaweza kufikiri ni utani lakini ndio uhalisia wenyewe, binafsi stori ya kwangu Mimi ni mmoja kati ya watu wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app