JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Umekua mwanachama muaminifu siku hizi

Mi sijambo sijui wenzangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Manga ML [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie popo kitambo sana lakini huku nilikuwa napita tu,sasa siku niliyobisha hodi nikaingia mpaka chumbani mpaka chooni,ndio nimekuwa mwenyeji.
 
Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane
 
3869.jpg
 
Yaani acha tu. Nakuwa nachoka kwa pilika pilika za mchana,so najitahidi kuwahi kupumzika. Huwezi amini naingiaga kitandani Saa 4ili niwahi kulala,nashtukia nafika mpaka Saa saba nazurula jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom