Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Mile mzima kabisa.Hatujambo hofu kwako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mile mzima kabisa.Hatujambo hofu kwako tu
Wakoraa..!!
Inna alikimbia jana usiku hakutaka kunipa mualiko wa iddDaah kimya kingi kamanda au pilau la iddi unamalizia
Jana na le....
Daah aisee sio poa kabisaInna alikimbia jana usiku hakutaka kunipa mualiko wa idd
Umekua mwanachama muaminifu siku hiziNdio kumekucha kumbe...hamjambo jambo huku?
[emoji1]Daah aisee sio poa kabisa
Cc: Inna njoo ujibu shtaka lako huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Manga ML [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie popo kitambo sana lakini huku nilikuwa napita tu,sasa siku niliyobisha hodi nikaingia mpaka chumbani mpaka chooni,ndio nimekuwa mwenyeji.Umekua mwanachama muaminifu siku hizi
Mi sijambo sijui wenzangu
Mkuu mjengoni
Habali mkuu nakuona ukiwakilishaMbona unaingia kwa kubashili kama kamali
Vp weekend inaendaje[emoji1]
Mi ndo mida yangu hii ya KUBUNDI mkubwa. Ili nchi iendelee ina hitaji mambo fulani hivi, nakumbuka la tano ni walinzi wa usiku!Mkuu mjengoni
Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Manga ML [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie popo kitambo sana lakini huku nilikuwa napita tu,sasa siku niliyobisha hodi nikaingia mpaka chumbani mpaka chooni,ndio nimekuwa mwenyeji.
Tupo mzigoni comradeDuuuh jamani hamlali?
Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane
Anza wewe basiDuuuh jamani hamlali?
Yaani acha tu. Nakuwa nachoka kwa pilika pilika za mchana,so najitahidi kuwahi kupumzika. Huwezi amini naingiaga kitandani Saa 4ili niwahi kulala,nashtukia nafika mpaka Saa saba nazurula jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haaa hukujua kua kuna uwanja wako huku unapita tu mapopo tunapozana humu at tatizo hufiki ata saa nane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Manga ML [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie popo kitambo sana lakini huku nilikuwa napita tu,sasa siku niliyobisha hodi nikaingia mpaka chumbani mpaka chooni,ndio nimekuwa mwenyeji.