JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo tukijaaliwa tutaonana ile mida yetu[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
Ok, ok, ule muda wetu ndio huu sasa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
mida michafu.jpg
 
Rudisha kwao mkuu au ongeza nyumba[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Jesus is my saviour and a friend
Wazo jema ila angalau nina network na wadau usiku huu wa manane kunitia moyo...itabidi nitafute maana hata TANESCO ambao ndio wazalishaji wa umeme huwa wana GENERATOR kwa ajili ya dharula just in case umeme ukikatika
 
So unatafuta genereta au ushapata?

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom