Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali hadi mkopo wa chuo hafu mahitaji ya chuo yatatoka wapi?Nikipokea mkopo wa chuo ntakutafuta best
Mida ya wanga hii bundi ndio wanatumika zaidi
Ha ha haaa Nei acha utani ushapata mkopo?Asanteh mpz, tulikuwa tunajiuliza sana. Nitapita hapo next week.
Leo wantashi au sio?Sorry girls kama alivyowaambia manga like he watched me.
Triple 7 ni club ipo maeneo kama unaenda kawe kama sikosei. Karibu na makao ya kambi ya jeshi mlalakuwa,karibu na kituo cha maringo.
Hilo ni jukumu la wazazi [emoji6][emoji6]Hii kali hadi mkopo wa chuo hafu mahitaji ya chuo yatatoka wapi?
Ntapita kuangalia madhari kwanza kama yatanifaa, alafu nikipata boom ntaku inviteHa ha haaa Nei acha utani ushapata mkopo?
Jirani jirani nakuonaIntruders not allowed [emoji23][emoji23][emoji23]
Unishtue jirani tuelekeeAsanteh mpz, tulikuwa tunajiuliza sana. Nitapita hapo next week.
Mida ya yenyewe hii YegomasikaMambo ya ulipo, tupo! [emoji23][emoji23]
Nakuona pia jirani yanguJirani jirani nakuona
Ok sawa hamna neno nitakushtuaUnishtue jirani tuelekee
Hizo chenji zimo kwenye majukum yao lazima wazipangie matumiziHilo ni jukumu la wazazi [emoji6][emoji6]
Ha ha haa hayaNtapita kuangalia madhari kwanza kama yatanifaa, alafu nikipata boom ntaku invite
Mkuu wewe mara ingine nta anza mimiUnishtue jirani tuelekee
Kwa hiyo tutakua watatu?Ok sawa hamna neno nitakushtua