Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani bossKaribu
Kwema hukoooBest naomba nikuachie kijiti
Nikutakie na uck mwema mpendwa
Hakika hizi ndoto zimekuja siku mbaya. Lala tena unaweza uote vingine, ie vaisivesaKama hakuna kigaloni pembeni ka maji ka kupunguzia kiu ikizidi[emoji85] (itakua naota)
Nayo siyaoni nahisi kesho asubuhi nitayaona.Pole
Kunywa maji mengi ya bomba husaidia sana
hahahaha maji ya bomba tena?Pole
Kunywa maji mengi ya bomba husaidia sana
Pokea lindo kiongozi mida.shukrani boss
mkuu naona leo unabwaga manyanga mapema sana
Tayari nimekjachia bomu mkononi ukikimbia kimbia nalo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Mie napita tu head bhanaa.... Sio mkaaji saana
Sasa tumfanyeje hataki kuelewaUtampoteza kijana huyu
Ya bombaPole
Kunywa maji mengi ya bomba husaidia sana
Usiku mwema na kwako pia
Kwema bibie looh unapita unaenda wapi?Kwema hukooo
Usilale bhanaa mie napita tuu
Ndio mkuuhahahaha maji ya bomba tena?
HahahaTayari nimekjachia bomu mkononi ukikimbia kimbia nalo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha akajatibu kusafisha kichwa.Sasa tumfanyeje hataki kuelewa
Naendelea na safari bibie... Nani alikuficha wewe mremboKwema bibie looh unapita unaenda wapi?