Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Huku kwetu kuna hatari lakini salamaAsante!!salama huko lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu kuna hatari lakini salamaAsante!!salama huko lakini
We mtu mbaya sana......hupaswi hata kunisabahiOhoooh Bundi Thad upo? Habari za Ununio
Popo ni ndege au mnyama? Kwanini?Nina kama dakika 20 hivi za upopo. Mwenye swali lolote nitajibu bila chenga.
Ooho..!! Hatari ipi tena hiyoHuku kwetu kuna hatari lakini salama
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]Asante kwa kunimiss mwaya, soi kama Nleterewa Nganengo aliyefurahia kutokuwepo kwangu...........
Nawe pia mrs. Stunter ulale unono na uwe na njoz njena.!!!Cm nayo sio rafiki, charge imeisha
Mungu awalinde
Gnytooooo
Popo ni mnyama. Ana sifa za kimamalia zaidi kuliko za ndege. Anazaa hatagi mayai.Popo ni ndege au mnyama? Kwanini?
[emoji24] [emoji24] [emoji24]We mtu mbaya sana......hupaswi hata kunisabahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji482] [emoji481] [emoji119]Nimeamini pombe si chai, nilifakamia balimi za offer zikanizimisha kwa siku 2 mfululizo..........
Sinywi tena pombe....ilichonifanya sitakaa niisamehe asilani[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]
Sema we hujui tu, me nimekumisi mpaka nikatamani na mimi nijiteke nije huko ununio tuungane, sema nikaanza kusali na kuvaa magunia hatimae umerejea[emoji39] karibu bibie[emoji481] [emoji481] upooze koo kwanza[emoji6] [emoji8] [emoji40]
Hebu muulize walienda wapi?We popo.............ndo maana siku ile mkatuachia geti wazi; wewe na mwenzio Kichwa Kichafu
Mbona anamuonekano wa ndege zaidi?Popo ni mnyama. Ana sifa za kimamalia zaidi kuliko za ndege. Anazaa hatagi mayai.
Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofoHebu muulize walienda wapi?
Na kwanini waondoke paap kwa pamoja wakaacha geti wazi? (Mimi sijauliza kitu)[emoji40] [emoji125]
[emoji122] [emoji122]Sinywi tena pombe....ilichonifanya sitakaa niisamehe asilani
Hahaha na yeye anahitajika kutoa maelezo nini kilichomfanya ajikute kalala fofofo na wapi alipoamkia fofofo ilipoisha[emoji85] [emoji125] [emoji125]Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofo
Zawadi pekee nitakayo pokea kutoka kwako ni Farasi mweupe........[emoji122] [emoji122]
Hongera kwa kuacha bibie, sasa nimejikuta nawashwa kukutafutia angalau kazawadi[emoji39]
Cha ajabu ni kwamba kila hii kesi ikitakiwa kusikilizwa wanakimbia, kuna kitu nyuma ya pazia sio bureHahaha na yeye anahitajika kutoa maelezo nini kilichomfanya ajikute kalala fofofo na wapi alipoamkia fofofo ilipoisha[emoji85] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Zawadi pekee nitakayo pokea kutoka kwako ni Farasi mweupe........
Ewaaah kumbe na wewe umeona, sie tusubiri kuna siku mtego utanasa tu.Cha ajabu ni kwamba kila hii kesi ikitakiwa kusikilizwa wanakimbia, kuna kitu nyuma ya pazia sio bure
Acha waruke ruke kama maharage yanayoanza kuchemka, wakumbuke tu za mwizi ni arobaini..................japo huaminigi hii misemo ya wahenga 🙂🙂🙂Ewaaah kumbe na wewe umeona, sie tusubiri kuna siku mtego utanasa tu.