JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asante kwa kunimiss mwaya, soi kama Nleterewa Nganengo aliyefurahia kutokuwepo kwangu...........
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]
Sema we hujui tu, me nimekumisi mpaka nikatamani na mimi nijiteke nije huko ununio tuungane, sema nikaanza kusali na kuvaa magunia hatimae umerejea[emoji39] karibu bibie[emoji481] [emoji481] upooze koo kwanza[emoji6] [emoji8] [emoji40]
 
We mtu mbaya sana......hupaswi hata kunisabahi
[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nisamehe tu bibie, sema we hujui tu ni namna gani magoti yangu yamechubuka kukuombea urudi salama[emoji40]
Niko tayari kutembea kwa kucha kukufuata popote ulipo unisamehe[emoji85]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]
Sema we hujui tu, me nimekumisi mpaka nikatamani na mimi nijiteke nije huko ununio tuungane, sema nikaanza kusali na kuvaa magunia hatimae umerejea[emoji39] karibu bibie[emoji481] [emoji481] upooze koo kwanza[emoji6] [emoji8] [emoji40]
Sinywi tena pombe....ilichonifanya sitakaa niisamehe asilani
 
Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofo
Hahaha na yeye anahitajika kutoa maelezo nini kilichomfanya ajikute kalala fofofo na wapi alipoamkia fofofo ilipoisha[emoji85] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom