JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mie sio wa kitambo sana ila nilibahatika kuonana na Iceman 3D mitaani kipindi naaingia katika jiji hili la JF,alikuwa ananisalimia sio kama wengine nyinyi mlikuwa mnanipita kama hamnioni ati kwa kuwa tu nilikuwa jogoo la shamba........hakika ana roho nzuri kama shogaangu Neybright,nawaombea mapenzi yao yastawi
Amina shogaangu, kweli Mungu atusimamie tuvuke salama. Kijana hakuwa mchoyo wa salamu aweza anza salimia mpaka akasahau mada iliyopo mezani hicho ni kigezo kimojawapo kilichonifanya nikampenda zaidi.
 
Kweli namkumbuka sana kwa hilo, ama kweli wema hawadumu.....let him rest in oooh sorry,live in peace
 
Amina shogaangu, kweli Mungu atusimamie tuvuke salama. Kijana hakuwa mchoyo wa salamu aweza anza salimia mpaka akasahau mada iliyopo mezani hicho ni kigezo kimojawapo kilichonifanya nikampenda zaidi.
Doh amakweli mapenzi hayana sababu inayojitegemea
 
Back
Top Bottom