Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Wewe unatafuta ajali sio bure.........yaani unachat ukiwa ungoni angani?Au acha nikupitie na wewe mkuu hapo Kongwa. Saa hii nipo Kiomboi hapa natokea Simiyu dakika 7 zilizopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatafuta ajali sio bure.........yaani unachat ukiwa ungoni angani?Au acha nikupitie na wewe mkuu hapo Kongwa. Saa hii nipo Kiomboi hapa natokea Simiyu dakika 7 zilizopita
Nenda tu mkuu usinipitie vikaoa sijaviweza badoAu acha nikupitie na wewe mkuu hapo Kongwa. Saa hii nipo Kiomboi hapa natokea Simiyu dakika 7 zilizopita
Ngoja kesho nikuchokoze.........utoe povu mpaka ule ban, Hahahah kumbe ili uwe supa mpaka ulambe ban kwanza?Supa staa sijawai kula hata ban moja napataje huo usupa?
Hem mfano kwanza unanichokozaje?Ngoja kesho nikuchokoze.........utoe povu mpaka ule ban, Hahahah kumbe ili uwe supa mpaka ulambe ban kwanza?
Asante Boss wangu. Tupo pamoja.Kweli kiongozi pamoja sana karibu mara ingine
Nijuavyo mimi kilio huletwa na maumivu......So, hiyo bakora yenu inaumiza ndo maana wanao chapwa nayo huliaHa ha ha haaa ushawahi kumuuliza kilio chake ukajua kama ni cha maumivu au utam au hujui kua furaha yaweza leta kilio?
Amina shogaangu, kweli Mungu atusimamie tuvuke salama. Kijana hakuwa mchoyo wa salamu aweza anza salimia mpaka akasahau mada iliyopo mezani hicho ni kigezo kimojawapo kilichonifanya nikampenda zaidi.Mie sio wa kitambo sana ila nilibahatika kuonana na Iceman 3D mitaani kipindi naaingia katika jiji hili la JF,alikuwa ananisalimia sio kama wengine nyinyi mlikuwa mnanipita kama hamnioni ati kwa kuwa tu nilikuwa jogoo la shamba........hakika ana roho nzuri kama shogaangu Neybright,nawaombea mapenzi yao yastawi
Boss wangu, Dada yetu Inna yupo?Nenda tu mkuu usinipitie vikaoa sijaviweza bado
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata ningekusalimia usiniitikia......mbona Nleterewa Nganengo alikuwa ananichunia kila nikimsalimia?
Tafadhali usinichonganishe na shost yangu Neybright................
Hivi hii ndo tafsiri ya 'mid night' ama?night kali
Kweli namkumbuka sana kwa hilo, ama kweli wema hawadumu.....let him rest in oooh sorry,live in peaceAmina shogaangu, kweli Mungu atusimamie tuvuke salama. Kijana hakuwa mchoyo wa salamu aweza anza salimia mpaka akasahau mada iliyopo mezani hicho ni kigezo kimojawapo kilichonifanya nikampenda zaidi.
Hahahah ngoja Kesho nitakusapraize uchokozi.......Hem mfano kwanza unanichokozaje?
HalleluyahKweli namkumbuka sana kwa hilo, ama kweli wema hawadumu.....let him rest in oooh sorry,live in peace
Afadhali shogangu hujachonganishika....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole sanaaaa wancheka kupitiliza ndo kilio maumivu hayafwati et wafunzi wanalalaga wenyewe ili wachapweNijuavyo mimi kilio huletwa na maumivu......So, hiyo bakora yenu inaumiza ndo maana wanao chapwa nayo hulia
Doh amakweli mapenzi hayana sababu inayojitegemeaAmina shogaangu, kweli Mungu atusimamie tuvuke salama. Kijana hakuwa mchoyo wa salamu aweza anza salimia mpaka akasahau mada iliyopo mezani hicho ni kigezo kimojawapo kilichonifanya nikampenda zaidi.
Uvyocheka kama unamini hivi mbona kama umenichukia ney siku hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siwezi shogaangu nakuamini ujue [emoji6]Afadhali shogangu hujachonganishika....
Ukiwa m baya utapigwa ban mwenyewe shaurilakoHahahah ngoja Kesho nitakusapraize uchokozi.......