Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Lala dear wangu maana tuko wengi, mara Thad mara mm najua kuchoka muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Lala dear wangu maana tuko wengi, mara Thad mara mm najua kuchoka muhimu
Hahaha naona mmejuana sasa, kikubwa mmeambiwa mpunguze wivu, kwa maana kidume kuchepuka ni asili, na jasiri huwa haachi asili[emoji12] [emoji40]Naona unaniaga kiaina umfate Thad. Exhibit ninayo nimeona mchana @ Kichwa Kichafu
Ewaah, swadakta kabisa mkuu hiyo ninayo mimi tu.Huyu hatokufaa kwakweli naamini hana fimbo isioumiza
Kabisa Mkuu, hakuna kilichoharibikaSaiba natumai umeniwakilisha vema
Agash ujue nimeku-missimo kama pipi lotto[emoji39]Mlale basiii
Alafu jirani yako kiboko kweli, ana defensive mechanism ya kutisha sana, wale warembo wote waliokua wanamkaba koo naona keshawanyamazisha, saivi naona wataanza kukamatana uchawi[emoji85]Tupooo
4:454 .42 popoozzz
Woyooooo! Twenzetu jimu wadauuuuu!
Mkuu sisi wengine kazi zetu ni jimu tosha.Woyooooo! Twenzetu jimu wadauuuuu!
Kumbe ulipita huku??[emoji7] [emoji7] usiku mwemah.
Funga geti mkuu, muda ushaisha.0504, nimesaini tu leo!
ewaaaaa imebidi atubambanishe maana looohHahaha naona mmejuana sasa, kikubwa mmeambiwa mpunguze wivu, kwa maana kidume kuchepuka ni asili, na jasiri huwa haachi asili[emoji12] [emoji40]
Nakuachia uwanja mamy,mashindano siyawezi japo nina bahati ya mtende..........ewaaaaa imebidi atubambanishe maana loooh
ila ndo hivyo tutabanana tu aisee nitajitahidi nimpite Thad
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]ewaaaaa imebidi atubambanishe maana loooh
ila ndo hivyo tutabanana tu aisee nitajitahidi nimpite Thad