Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Basi ngoja nimsamehe asije akakimbia bure,jje's akanilaumuMhhhhh utamfanya akimbie kijiwe siunamjua jirani yangu alivyo, kwenye mambo ya kujibu tuhuma hajiwezi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ngoja nimsamehe asije akakimbia bure,jje's akanilaumuMhhhhh utamfanya akimbie kijiwe siunamjua jirani yangu alivyo, kwenye mambo ya kujibu tuhuma hajiwezi jamani
Inakaribia au imeshafika?Mida ya wanga inakaribia....
Duuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?[emoji12] [emoji12] [emoji38]Hahahah! Kwahili lazima ajibu tuhuma hizi 😉😉😉
Neybright na mimi uniombee,nikue harakanaomba uwe unaniombea ktk Maombi yako
Mimi pia[emoji38] [emoji85]iyo avator ysko imenitisha namda nipo alone daah
Shem bhana, ukiwa JF inaitwa PC au tablet bhana[emoji47] tafadhali shem, mimi mbona natumia. simu sasa
Asante dear. Maana tuhuma za huku zimemkimbiza huwa anachungulia watu wakishalala wote.Basi ngoja nimsamehe asije akakimbia bure,jje's akanilaumu
Nasikia Neybright ni jirani wa members wote wa JF.............bila shaka atakuwa hewa tena oksijeniDuuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?[emoji12] [emoji12] [emoji38]
Nauliza tu
Hahahahah! Kumbe na wewe umeshagungua janja yake eeeh!Asante dear. Maana tuhuma za huku zimemkimbiza huwa anachungulia watu wakishalala wote.
Anakuja na fujo zote ili watu wasimuulize kitu
iyo avator ysko imenitisha namda nipo alone daah
Mimi huwa inanikumbusha Ushimen,sijui kapotelea wapi jamaniMimi pia[emoji38] [emoji85]
Na wewe ni jirani upande upi?Nasikia Neybright ni jirani wa members wote wa JF.............bila shaka atakuwa hewa tena oksijeni
(Ney plz nisamehe si mimi ni usingizi)
Nimeona aiseeHahahahah! Kumbe na wewe umeshagungua janja yake eeeh!
Tatizo huelewi wewe tu ndo popo wengine wote humu sasa hivi ni bundi[emoji87]Huu uzi siku hizi nitakuwa napita na kuwachungulia tu, maana hakuna namna. Hamna popo wa kunishinda humu
Yap watu wana avanter za kutisha hadi duuuhMimi huwa inanikumbusha Ushimen,sijui kapotelea wapi jamani
Bundi wa kawaida au bundi mikosi?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Tatizo huelewi wewe tu ndo popo wengine wote humu sasa hivi ni bundi[emoji87]
Nice night to you too, mi popo kongwe tena suguSpeed ya humu imepungua sana na huwa siwez kusubir
Acha niwaage uck mwemeni wote