JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

iv nyie kin nan kwan mbn mko weng!!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ......NAULIZ 2
 
Duuuh huyu jiran ni huyu huyu ama mwingine. Mbona ana majirani wengi sana? Au ni jiran kiwilaya, wengine kimkoa, wengine kinchi na wengine kihouse?[emoji12] [emoji12] [emoji38]
Nauliza tu
Nasikia Neybright ni jirani wa members wote wa JF.............bila shaka atakuwa hewa tena oksijeni
(Ney plz nisamehe si mimi ni usingizi)
 
Tatizo huelewi wewe tu ndo popo wengine wote humu sasa hivi ni bundi[emoji87]
Bundi wa kawaida au bundi mikosi?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom