Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15]Usikimbie nina kesi na wewe!
Kesi tena, niko nje ya dunia nimesafiri[emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15]Usikimbie nina kesi na wewe!
kumekucha na makucha yakeNaona umu kumekucha sasa
Hahaha we si uliniambia ukiwa na hangover huelewi maandishi ya kiswahili kumbe ulikua unanizuga[emoji12] [emoji40]Eeeh! Naona ushakula mahari kabla mshiki wako jje's hajapewa kishika uchumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo maana promo kubwa
Karibu, utatumia supu ya nungunungu au mayai ya mamba?Popozzzzzzz
Napenda kutoa salam zangu za dhati kwa wale ambao wapo macho mida hii
Karibu kilingeniTupo pamoja! tunawasalimu pande hizi
Usilete vijisababu............kwanini uliniova dozi na viroba?[emoji15] [emoji15]
Kesi tena, niko nje ya dunia nimesafiri[emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaolala mzungu wa nne, Wanaolala sebuleni na jikoni naona ndo muda wao huu ili usiku husiwe mrefu wakaesabu mabati
Swadakta karibu mkuuNaona umu kumekucha sasa
Mimi pia nataka supu [emoji39] [emoji39]Karibu, utatumia supu ya nungunungu au mayai ya mamba?
Hiyo ni kiboko mkuu. Maana unaweza rudisha chenchi iliyozidi KabisaKaribu, utatumia supu ya nungunungu au mayai ya mamba?
Karibu kilingeni
Kama ulikuwepo aisee,yaani nimelala sebuleni kwenye mkeka halafu mzungu wa nne....nahisi mbu wanasherehekera birthday ya mtoto wao maana si kwa vigelegele hivi navyovisikiaWanaolala mzungu wa nne, Wanaolala sebuleni na jikoni naona ndo muda wao huu ili usiku husiwe mrefu wakaesabu mabati
Viroba vyangu alcohol yake ni 0%, sijui iyo ova dozi ilikua ni ipi bibie[emoji40]Usilete vijisababu............kwanini uliniova dozi na viroba?
Halafu unajifanya hujui chochote,unamsingizia KK?
Hahaha imebaki supu ya nyongo ya mamba tu lakini, nikuwekee[emoji39]Mimi pia nataka supu [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]aaah mi nipo lakini si unajua mambo haya hapa! badae ntapotea tuu najua sitafika mbali! BAPA kalala mezani hapa
Yule Neybright kamwongopea jirani yake,ndio maana alivyoniona tu nimekuja kaondoka bila kuaga maana alijua nitamsuta [emoji12] [emoji12]Viroba vyangu alcohol yake ni 0%, sijui iyo ova dozi ilikua ni ipi bibie[emoji40]
Kuwa tu muwazi Jirani na dirty head wamekiri wazi saiv ndo wamekuachia kutoka kwenye kiota chao[emoji24]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kama ulikuwepo aisee,yaani nimelala sebuleni kwenye mkeka halafu mzungu wa nne....nahisi mbu wanasherehekera birthday ya mtoto wao maana si kwa vigelegele hivi navyovisikia