Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Usije ukapitilizia huko huko,maana kilalio nacho na mvua hizi kinashawishi [emoji12] [emoji12]Okey sawa hamna neno, Wacha niandae kilalio nitarudi baada ya dakika chache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usije ukapitilizia huko huko,maana kilalio nacho na mvua hizi kinashawishi [emoji12] [emoji12]Okey sawa hamna neno, Wacha niandae kilalio nitarudi baada ya dakika chache
Thaaatha je uzuri pale kati hapakoseanagiKweli nimeamini hakuna mama chanja maana kwa baridi hii hata mkikoseana mnasameheana haraka kabla ya muda wa kulala [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jana nilikuwepo sana mbona! Sema nilikuwa busy na riwaya za wahenga wenzangu....Hafu usizuge wewe hukwepo hizi siku mbili tatu ndo leo umeibuka sijui kumbato umelikumbatia kwa fujo
Mh mh mh.Okey sawa hamna neno, Wacha niandae kilalio nitarudi baada ya dakika chache
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Thaaatha je uzuri pale kati hapakoseanagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji18] [emoji18] [emoji18] Ila wana tabia mbaya...kwanini hawakutuaga kama jje's alivyofanya?
YeahEt ulifungua tu nakurudi kwenye kumbato lako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Yeah
Ukishikwa shikamana banah
Ahahahaaaaaa eti niliskia baba chanjaAkimtaja tu basi akutajie na huyoo mama nani pia
Kiaje et? nijue tuUsije ukapitilizia huko huko,maana kilalio nacho na mvua hizi kinashawishi [emoji12] [emoji12]
Bwana weee mambo ya hali ya hewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji18] [emoji18] [emoji18] Ila wana tabia mbaya...kwanini hawakutuaga kama jje's alivyofanya?
Uthione thoo themanae au vipi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila nilipenda sana alivyotuaga sio kama jirani zako waliopotelea kusikojulikana ...Bwana weee mambo ya hali ya hewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa, Mungu alitengeneza maajabu sana [emoji4]Usije ukapitilizia huko huko,maana kilalio nacho na mvua hizi kinashawishi [emoji12] [emoji12]
Hatujakuona huku sidanganyikiJana nilikuwepo sana mbona! Sema nilikuwa busy na riwaya za wahenga wenzangu....
Majirani zangu sio wema kabisaIla nilipenda sana alivyotuaga sio kama jirani zako waliopotelea kusikojulikana ...
Acheni aitwe Mungu kwa kweli...Acha kabisa, Mungu alitengeneza maajabu sana [emoji4]
Yeeees kitu kama hicho yaniYeah
Ukishikwa shikamana banah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama nawaona siku watakayorudi hapa watakavyorukaruka kama bisiMajirani zangu sio wema kabisa
Na mimi nalisikia sikia ila bado sijamjua Mama chanja hem nisaidie kujuaAhahahaaaaaa eti niliskia baba chanja