JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji15] [emoji15] Kumuuliza tena? Hapana maana mimi sina haja ya kumjua huyo mama chanja wako, itabidi uulize wewe au Ney [emoji40] [emoji40]
Mimi sijui kama Maserati ndo analo jibu wewe unaejua ndo uulize ukishindwa basi.
 
Popooooozz, kama kawaida popo kongwe zee, nawapitia kuwasalimu. Natumai mko poa
 
Tupo poa mzee wa epo na matikiti maji
Leo nipo free sana, tungekesha wote but siko vizuri Malaria inanisumbua, hata hivyo nitawasupport hadi mida mida
Then we mbaya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] matikiti umeona kule umeyaleta hapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom