Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Ohooo umewaza tu ila unaluhusiwa kututoroka pia[emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona kama mwapeana sign kijanja za kunitoroka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo umewaza tu ila unaluhusiwa kututoroka pia[emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona kama mwapeana sign kijanja za kunitoroka?
[emoji15] [emoji15] Kumuuliza tena? Hapana maana mimi sina haja ya kumjua huyo mama chanja wako, itabidi uulize wewe au Ney [emoji40] [emoji40]
Naona mnaruhusiana kuandaa vilalio....ngashtuka mie, msijeniacha solemba hapaOhooo umewaza tu ila unaluhusiwa kututoroka pia
Umeniacha slemba mimi apa na ndo ilikua lengo lako.Naona mnaruhusiana kuandaa vilalio....ngashtuka mie, msijeniacha solemba hapa
Nipo nimejaa tele kama pishi la mchele....ila uliyemruhusu kwenda kutandika kaamua kukumbatia na mto hukohuko [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea mvua ya usiku wewe!Umeniacha slemba mimi apa na ndo ilikua lengo lako.
Vip tena mtz mwenzetu?Aiseee
Usitusindikize kwa pembeni mkuu,njoo tupige story hapa kijiweni......Popozzzz
Nawasindikiza kwa pembeni pembeni wadau. Thad naona unawakilisha kama kawa.
Nakuona nakuona na ndonya usoni....[emoji40] [emoji40] [emoji40]Popooooozz, kama kawaida popo kongwe zee, nawapitia kuwasalimu. Natumai mko poa
HapanaUsitusindikize kwa pembeni mkuu,njoo tupige story hapa kijiweni......
Au na wewe ni mhanga wa mvua? [emoji12] [emoji12]
Tupo poa mzee wa epo na matikiti majiPopooooozz, kama kawaida popo kongwe zee, nawapitia kuwasalimu. Natumai mko poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] Naona bado athari za mvua zinaendelea.....
Jirani wa watu,wewe na shemeji yako mliniacha kwenye mataa [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nipo free sana, tungekesha wote but siko vizuri Malaria inanisumbua, hata hivyo nitawasupport hadi mida midaTupo poa mzee wa epo na matikiti maji