Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,226
Naam nimekaribia kamandaSalamu zimefika, karibu komredi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam nimekaribia kamandaSalamu zimefika, karibu komredi
Hahahaa hayaUsipite kimya tafadhali, hebu sema hata neno[emoji39]
Alikuwa anafanya komedy, namjua hawez fanya hivyo kamwe[emoji85] [emoji12]Sikuhizi tumeweka uzio mkubwa sana hawezi tena kupiga chabo jirani yangu.
Kuna mahali nimemuona anaomba papuchi mbele ya hadhira sijui kapatwa na nini jamani, (jje's asiione hii comment) [emoji41][emoji41]
Mshiki naona maneno ya watu yanataka kukupoteza, wakumbuke wahenga " miluzi mingi humpoteza mbwa" wa kunisikiliza hapa ni mimi na Kichwa kichafu tu[emoji40]Duuuh hakika huyu my kaka sio mtu mzuri
Loooh sijui nisemeje nimekosa kauli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahhaa duuuh kuna nn mbona wamwogopa hivyo?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Sikuhizi tumeweka uzio mkubwa sana hawezi tena kupiga chabo jirani yangu.
Kuna mahali nimemuona anaomba papuchi mbele ya hadhira sijui kapatwa na nini jamani, (jje's asiione hii comment) [emoji41][emoji41]
Pole kwa kuandamwa ila sio bule labda zile balimi na viroba vinawapa ushawishi wakuandameHahaha mkuu nimeona wameniandama sana nikaona niite assist kijanja[emoji40]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Alikuwa anafanya komedy, namjua hawez fanya hivyo kamwe[emoji85] [emoji12]
Kwenye baridi wapi huko?Mie naona dar leo kuna joto. Vipi mamy ndio umerudi rasmi?
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu
Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari
Hahaha na kweli, yani offer ambayo hata sikuitimiza yote inataka kuniletea shida.Pole kwa kuandamwa ila sio bule labda zile balimi na viroba vinawapa ushawishi wakuandame
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jomoniiii
Nakusemea kwa baba chanja
[emoji120] [emoji120] [emoji106]Hahahaa haya
Simama kwanza[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Baridi hii itakua kilimanjalo huku ni joto tuHahaha basi Mama chanja si yashaisha, au bado baridi inasumbua?[emoji85] [emoji40] [emoji125]
Ile haikuwa comedy jamani macho yalivyo mtoka utadhani anataka kupigana mieleka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anafanya komedy, namjua hawez fanya hivyo kamwe[emoji85] [emoji12]
Karibu mkuu zikurudie nawenawasalimu usiku mnene
Inamaana umeisoma hiyo comment yangu why na nilisema usione ahahahaaaaaa pole sana Dear koroga sukari na chumvi unywe utapata auheniHii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu
Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari