JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Duuuh hakika huyu my kaka sio mtu mzuri
Loooh sijui nisemeje nimekosa kauli
Mshiki naona maneno ya watu yanataka kukupoteza, wakumbuke wahenga " miluzi mingi humpoteza mbwa" wa kunisikiliza hapa ni mimi na Kichwa kichafu tu[emoji40]
Huyo jirani kishaweka na uzio kabisa siku hizi hawaonani[emoji125]
 
Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu


Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari
Inamaana umeisoma hiyo comment yangu why na nilisema usione ahahahaaaaaa pole sana Dear koroga sukari na chumvi unywe utapata auheni
 
Back
Top Bottom