JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tangia uondoke uzi umedorora, hawaji tena
Wangejua umetia timu kila mmoja atafumuka upande wake.
You have an impact on this uzi
 
Bby kweli nilikumis
Kuna wakati niliona utanipiku ktk penzi langu na KK nikaomba Mungu Magu akupe ziara ya kikazi. Ombi langu lilifanikiwa ila baadae nikajua kumbe nakuhitaji sana
You were missed by me jmn, nimesumbua sana kina Manga ML na kaka yangu bila mafanikio
Pls karibu nakukaribisha kwa mikono yote na miguu kwa pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli moyo wa mtu kichaka kumbe tulikuwa tunacheka tu huku moyoni mwako ukiniombea ziara ya kikazi ilihali wajua fika ziara zenyewe hazina malipo siku hizi.....

Asante mpenzi!
Niliwamiss mno watu wangu
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nimecheka kwa nguvu Thad pls hurumia mbavu zangu.
Watu wamepoa sana siku hiz ila ujio wako utawaamsha tena.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nimecheka kwa nguvu Thad pls hurumia mbavu zangu.
Watu wamepoa sana siku hiz ila ujio wako utawaamsha tena.
Sio dhamira yangu kukuumiza mbavu mpenzi wangu,ila umenishangaza ulivyonipigia mahesabu ya ajabu...
Vp kwanza KK hajambo? Naona kapotea kabisa hapa tangu alivyosemelewa na jirani yake.

Ila kusema ukweli alikubembeleza mpaka nikasikia kijiwivu kwa mbali.[emoji4] [emoji4]
 
Tangia uondoke uzi umedorora, hawaji tena
Wangejua umetia timu kila mmoja atafumuka upande wake.
You have an impact on this uzi
Nafurahi kusikia hivyo.....kwa kweli natamani sana leo nionane nao maana nimewamiss mno![emoji18] [emoji18]
 
Sio dhamira yangu kukuumiza mbavu mpenzi wangu,ila umenishangaza ulivyonipigia mahesabu ya ajabu...
Vp kwanza KK hajambo? Naona kapotea kabisa hapa tangu alivyosemelewa na jirani yake.

Ila kusema ukweli alikubembeleza mpaka nikasikia kijiwivu kwa mbali.[emoji4] [emoji4]
Hajambo kabisa, unajua tangia utokomee bila kuaga hakuna mahudhurio mazuri, kwa siku unakuta post 10 tu wakati ukiwepo post zinaweza zidi mia 5
Karibu mpnz tena karibu sana
 
Hajambo kabisa, unajua tangia utokomee bila kuaga hakuna mahudhurio mazuri, kwa siku unakuta post 10 tu wakati ukiwepo post zinaweza zidi mia 5
Karibu mpnz tena karibu sana
Bila shaka walikuwa busy na mnada wa mia 9 itapendeza....kuanzia kesho watarudi ulingoni kama kawaida
 
Niliwamiss kuliko kawaida...
Neybright kwanini wachonganisha mapenzi ya jje's na Kichwa Kichafu? Hakika nimefurahi kuona mlivyosimama kidete kutetea penzi lenu.

Manga ML nilikumiss japo ulikataa katakata kunifunza kubet

Nleterewa Nganeno nilimiss balimi na bombadia zako,bia za ofa zina utamu wake bwana

Maserati nilikumiss na swaga zako za kuwaita wenzio akina baba nanilu...
Aisee hatimae......
 
Watakuja kuchungulia muda si mrefu
Ngoja niwasubiri,japo naona muda wazidi kuyoyoma.
Unajua zile moment umepanga miadi na mtu halafu unafiki eneo la miadi lakini mhusika hatokei....ndivyo ninavyojisikia sasa hivi [emoji18] [emoji18]
 
Jamani mnisamehe bure tu,maana uzee umeniandama sasa siwezi tena kukesha kama enzi za ujana wangu. Labda tuanzishe uzi wa 'mchana wa manane' [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmm hapana sio uzee sema ukweli
 
Ngoja niwasubiri,japo naona muda wazidi kuyoyoma.
Unajua zile moment umepanga miadi na mtu halafu unafiki eneo la miadi lakini mhusika hatokei....ndivyo ninavyojisikia sasa hivi [emoji18] [emoji18]
Wameanza kujitokeza[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38]
 
Back
Top Bottom