Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa tunakusubirmpo humu.mbona kimya
la wanga niunge chalii maana leo nitaanzia kona mbauda ngarenaro esso road mnara saa na mwenge.nikamalizie mianziniNilikuwa mwanga na popo mtiifu humu kabla cjabadil I'd
Wazeee tuanzishen group la wasp au mnaonaje
Tumesikia mshiki jje's:Mapopo wazoefu vyuma vimekaza leo; acha niende kuwaita
Msigombane humu, mmesikiaaaaaa
[emoji12] [emoji13] [emoji13] hapa mpaka mjogoo.leo anga imetuliaTulikuwa tunakusubir
Hahaha ila wewe sio mtu mzuri, mbona hukuniambia mtaani kwenu kuna Sungusungu?Mbona hukuniletea hivyo vitabu mwl.wangu? Yaani umenifanya nilale mlango wazi bure [emoji6] [emoji6]
Aisee, naona umeamua kunipanga na jirani aliyetekwa na jirani mpiga chabo, hili lindo nahisi ntakua peke yangu Neybright ebu thibitisha hapa kama utakuwepo tafadhali[emoji6]Nimefungua mwenyewe,wacha nifunge sasa! Maana naona lindo nimeachiwa peke yangu.
Kesho ni zamu ya Maserati na Manga ML.
Keshokutwa itakuwa zamu ya dingi mtoto na jje's
Mtondo itakuwa zamu ya Kichwa Kichafu na Inna
Mtondogoo itakuwa zamu ya Nleterewa Nganengo na Neybright
Baada ya mtondogoo itakuwa zamu ya No Escape na alibakari
Tafadhali ratiba hii izingatiwe!
Wacha weeh, naona jino la 33 limeonekana, ntakua makini sana siku hiyo, huyo shemeji yako anaweza kuzima taa makusudi[emoji40] [emoji125]Nakubali kuwa siku ya zamu yangu nitakuwa makini
dingi mtoto shem wangu naomba tusikwaze jukwaa[emoji12]
Popo siku izi wamekua wavivu sana, naona umeamua kuwapa kampani ya kulala,[emoji6]Zamu yangu kesho acha nilale naona popozi na bundizi hazitii timu
Sleep well all
Nasubiri uanze kuita Bundiz ndo nijeMapopo wazoefu vyuma vimekaza leo; acha niende kuwaita
Msigombane humu, mmesikiaaaaaa
Karibu hapa Mutukula, wenzako tuko hapa tumekuja kuweka mafuta kidogo[emoji83]hapa naona nipita anga ya sumbawanga.
Tulale mapema namna hii, Niko maeneo ya Kwadikwazu nimepumzika baada ya usafiri wangu kupata msukosuko nilipopita kwenye nyumba ya Ibadawanga mmelala
mafuta nawekea kijenge mwanama leoKaribu hapa Mutukula, wenzako tuko hapa tumekuja kuweka mafuta kidogo[emoji83]
handeni mkuu.nilipita mida si mingi (mkata.mazingira.kwa chaga.)kwangu hali ya hewa iko poaTulale mapema namna hii, Niko maeneo ya Kwadikwazu nimepumzika baada ya usafiri wangu kupata msukosuko nilipopita kwenye nyumba ya Ibada