Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Ati nini? Ngoja niaangalie ratiba nilale zangu[emoji15] [emoji15]
Kumbe kuna zamu siku izi, mimi zamu yangu wala sijaiona[emoji40]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati nini? Ngoja niaangalie ratiba nilale zangu[emoji15] [emoji15]
Kumbe kuna zamu siku izi, mimi zamu yangu wala sijaiona[emoji40]
Hahaha tatizo umezidisha uchochezi, nigawie basi dhambi kidogo ujue mimi sijawahi kuwa nazo[emoji125]Alaaa kumbe! Basi ungemalizia hii sentensi sio kuandika nusu nusu,mpaka umenitendesha dhambi bure mtoto wa mwenzio...
Aisee, hongera komred kwa kupata fungu lililo jema, mimi fungu nililochagua mpaka nakuja lindoni lilikua kwenye vikoba.
Wewe unayekesha unatongoza wanga wa kike na kulalia balimi ndo huna dhambi? Kweli wewe Mirembe day haijakusaidia hata,inabidi nikupeleke kwenye maombi ya kulipia...Hahaha tatizo umezidisha uchochezi, nigawie basi dhambi kidogo ujue mimi sijawahi kuwa nazo[emoji125]
Hii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!Aisee, hongera komred kwa kupata fungu lililo jema, mimi fungu nililochagua mpaka nakuja lindoni lilikua kwenye vikoba.
Hahaha mimi wala sipendi watu watundu, nikipiga mahesabu nina glass nyingi sana humu ndani na meza ya kioo[emoji40]Wacha wee.... Utamuua kwa wivu nduguyo Nleterewa Nganengo [emoji12] [emoji12]
Nisubiri basi tukaangalie wote[emoji39] [emoji125] [emoji125]Ati nini? Ngoja niaangalie ratiba nilale zangu
Mmmmh! Mbona unawaza ndivyo sivyo, kwani umeambiwa huo utundu ni wa kitandani? [emoji12] [emoji12]Hahaha mimi wala sipendi watu watundu, nikipiga mahesabu nina glass nyingi sana humu ndani na meza ya kioo[emoji40]
Alafu mbaya zaidi kitanda nilichonacho ni cha teremka tukaze[emoji85] [emoji125]
Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi[emoji40]Wewe unayekesha unatongoza wanga wa kike na kulalia balimi ndo huna dhambi? Kweli wewe Mirembe day haijakusaidia hata,inabidi nikupeleke kwenye maombi ya kulipia...
We mlevi unayepiga hatua 2 mbele na kurudi nyua hatua 5,utanichelewesha bure.Nisubiri basi tukaangalie wote[emoji39] [emoji125] [emoji125]
"Walevi na wa.... awataiona mbingu" Sasa kama unatafuta palipoandikwa neno balimi,endelea kujichochelea moto utakaokuunguza milele [emoji4] [emoji4]Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi[emoji40]
Ukipaona nishtue[emoji41]
Hahaha Bundi Thad bhana, chai yenyewe napikaga mwenyewe yeye vukoba vyake vinaanza saa 11 alfajiri mpaka mida isiyojulikanaHii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!
[emoji23] [emoji23]Mmmmh! Mbona unawaza ndivyo sivyo, kwani umeambiwa huo utundu ni wa kitandani? [emoji12] [emoji12]
Kwa zile brekifasti zako za supu ya nungu nungu na ulimi wa mamba,lazima mke akukimbie alfajiri ili ubaki unajipikia mwemyeweHahaha Bundi Thad bhana, chai yenyewe napikaga mwenyewe yeye vukoba vyake vinaanza saa 11 alfajiri mpaka mida isiyojulikana
[emoji57] [emoji57] [emoji40] [emoji125] [emoji125]We mlevi unayepiga hatua 2 mbele na kurudi nyua hatua 5,utanichelewesha bure.
Ngoja nikuitie mshiki wako jje's aje mwende wote. Maana damu ni nzito kuliko maji hatakuacha.
Mimi wala sio mlevi, mimi ni mnywaji tu[emoji41]"Walevi na wa.... awataiona mbingu" Sasa kama unatafuta palipoandikwa neno balimi,endelea kujichochelea moto utakaokuunguza milele [emoji4] [emoji4]
Nimeunganisha .....za utundu na kitanda cha teremka tukaze.[emoji23] [emoji23]
Kwani kuna sehemu nimezungumzia utundu wa kitandani?[emoji3]
Kweli Leo umeamua kuwaza mbali tu[emoji85] [emoji125]
Hee kumbe kwenu ni mchana? Wapi huko nije kuota jua maana nasikia baridi hapaSaa 01:28PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa zile brekifasti zako za supu ya nungu nungu na ulimi wa mamba,lazima mke akukimbie alfajiri ili ubaki unajipikia mwemyewe