JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Alaaa kumbe! Basi ungemalizia hii sentensi sio kuandika nusu nusu,mpaka umenitendesha dhambi bure mtoto wa mwenzio...
Hahaha tatizo umezidisha uchochezi, nigawie basi dhambi kidogo ujue mimi sijawahi kuwa nazo[emoji125]
 
Aisee, hongera komred kwa kupata fungu lililo jema, mimi fungu nililochagua mpaka nakuja lindoni lilikua kwenye vikoba.
Hii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!
 
Wacha wee.... Utamuua kwa wivu nduguyo Nleterewa Nganengo [emoji12] [emoji12]
Hahaha mimi wala sipendi watu watundu, nikipiga mahesabu nina glass nyingi sana humu ndani na meza ya kioo[emoji40]
Alafu mbaya zaidi kitanda nilichonacho ni cha teremka tukaze[emoji85] [emoji125]
 
Hahaha mimi wala sipendi watu watundu, nikipiga mahesabu nina glass nyingi sana humu ndani na meza ya kioo[emoji40]
Alafu mbaya zaidi kitanda nilichonacho ni cha teremka tukaze[emoji85] [emoji125]
Mmmmh! Mbona unawaza ndivyo sivyo, kwani umeambiwa huo utundu ni wa kitandani? [emoji12] [emoji12]
 
Wewe unayekesha unatongoza wanga wa kike na kulalia balimi ndo huna dhambi? Kweli wewe Mirembe day haijakusaidia hata,inabidi nikupeleke kwenye maombi ya kulipia...
Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi[emoji40]
Ukipaona nishtue[emoji41]
 
Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi[emoji40]
Ukipaona nishtue[emoji41]
"Walevi na wa.... awataiona mbingu" Sasa kama unatafuta palipoandikwa neno balimi,endelea kujichochelea moto utakaokuunguza milele [emoji4] [emoji4]
 
Hii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!
Hahaha Bundi Thad bhana, chai yenyewe napikaga mwenyewe yeye vukoba vyake vinaanza saa 11 alfajiri mpaka mida isiyojulikana
 
Mmmmh! Mbona unawaza ndivyo sivyo, kwani umeambiwa huo utundu ni wa kitandani? [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23]
Kwani kuna sehemu nimezungumzia utundu wa kitandani?[emoji3]
Kweli Leo umeamua kuwaza mbali tu[emoji85] [emoji125]
 
We mlevi unayepiga hatua 2 mbele na kurudi nyua hatua 5,utanichelewesha bure.
Ngoja nikuitie mshiki wako jje's aje mwende wote. Maana damu ni nzito kuliko maji hatakuacha.
[emoji57] [emoji57] [emoji40] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23]
Kwani kuna sehemu nimezungumzia utundu wa kitandani?[emoji3]
Kweli Leo umeamua kuwaza mbali tu[emoji85] [emoji125]
Nimeunganisha .....za utundu na kitanda cha teremka tukaze.
Uje nikuazimishe tu kilago changu nilichorithishwa na bibi yangu japo kina kunguni,ila hutapata adha ya kuhofia wageni watundu kwako [emoji23] [emoji23]
 
Kwa zile brekifasti zako za supu ya nungu nungu na ulimi wa mamba,lazima mke akukimbie alfajiri ili ubaki unajipikia mwemyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umeamua leo kunitolea stress zote, ngoja niongee na mshiki angalau akupe ka chance ka kumwona the hanter, nafikir huu uchochezi utapungua[emoji125]
 
Back
Top Bottom