JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana.
Ila bora mngefungwa kabisa ili kesho nikawazomee mahasimu wangu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nimechefukwa kwakweli haiwezekani goli tatu zirudishwe kimasihara tu,[emoji36]
Mpaka mudi ya kukesha imekata[emoji41]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nimechefukwa kwakweli haiwezekani goli tatu zirudishwe kimasihara tu,[emoji36]
Mpaka mudi ya kukesha imekata[emoji41]
I see...
Nakushauri ulale,ukiamka mtakuwa mmeshaongeza goli nyingine tatu hivyo matokeo yatakuwa 6-3
 
Back
Top Bottom