Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Na kwako pia mkuu, usisahau kuota unagombea Ukansela wa UjerumaniUsiku mwema popoz
Huu uzalendo umenishinda, ngoja nikaote nipo Ulaya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwako pia mkuu, usisahau kuota unagombea Ukansela wa UjerumaniUsiku mwema popoz
Huu uzalendo umenishinda, ngoja nikaote nipo Ulaya tu.
Usikonde kabisadhawadi ndhuri eeeh
Ahsante kushukuru mkuuDuh! Nashukuru kwa kunipiga chenga
Tulikua tunacheza na Sevilla asee, haka katimu nakachukia sana[emoji37][emoji134] [emoji134] mlikuwa mnacheza na nani?
Kila la heri mkuu.....ukiona vyema utanipapo na mimi hiyo adress yake siku nimtume njiwa wangu ampelekee salamuHahaha alivyoleweshwa mahabati lazima wataifungua waibadilishe, bora nitumie ujasusi kupata adress [emoji6]
Nikiota moto itapendeza zaidi maana kule ni baridi sanakuota
Kaone kanavyopenda zawadi, ikifika zamu yako utatoa?[emoji40] [emoji40] [emoji125]Karibu tena kiongozi...
Ukirudi kutoka ulaya uniletee dhawadi ndhuri eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana.Tulikua tunacheza na Sevilla asee, haka katimu nakachukia sana[emoji37]
Swalama kabisa mkuu, Leo angalau naona matumaini ya kutokulala geti waziᴴₑₗₗₒ Hᵉˡˡᵒ
popoozz natumai mko poa
Nitatoa nini wakati sijaenda ulaya?Kaone kanavyopenda zawadi, ikifika zamu yako utatoa?[emoji40] [emoji40] [emoji125]
Ohooo! Kumbe na vya kuota moto vimo tenaNikiota moto itapendeza zaidi maana kule ni baridi sana
Karibu, karibu mpaka ndaniHodi
Usihofu Bundi mchochezi, hakika sintokuangusha, hivi address yangu unayo kweli?[emoji41]Kila la heri mkuu.....ukiona vyema utanipapo na mimi hiyo adress yake siku nimtume njiwa wangu ampelekee salamu
Eeeh ninayo...si ile ile ya pluto mashariki? Au ushahama huko?Usihofu Bundi mchochezi, hakika sintokuangusha, hivi address yangu unayo kweli?[emoji41]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana.
Ila bora mngefungwa kabisa ili kesho nikawazomee mahasimu wangu!
I see...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nimechefukwa kwakweli haiwezekani goli tatu zirudishwe kimasihara tu,[emoji36]
Mpaka mudi ya kukesha imekata[emoji41]
Hahaha unajitia umesahau ile kauli ya mstaafu " Ukitaka kula sharti uliwe"Nitatoa nini wakati sijaenda ulaya?
Karibu One Power, pita tu geti liko waziHodi