JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

I see...
Nakushauri ulale,ukiamka mtakuwa mmeshaongeza goli nyingine tatu hivyo matokeo yatakuwa 6-3
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo sipatagi usingizi nikikuachaga peke yako hapa kilingeni[emoji40]
Nakusubiri ukishasinzia na mimi ndo nalala[emoji39]
 
Hahaha unajitia umesahau ile kauli ya mstaafu " Ukitaka kula sharti uliwe"
na Wahenga wako wakajazia na kamsemo kao ka "Zawadi ni zawadi"[emoji6]
Hahaaaa umesahau na msemo wenu wa jaza ujazwe....
Basi bwanaushaniogopesha sitaki tena zawadi kutoka kwake isije nitokea puani bure
 
Hahaaaa umesahau na msemo wenu wa jaza ujazwe....
Basi bwanaushaniogopesha sitaki tena zawadi kutoka kwake isije nitokea puani bure
Hahaha, acha uoga, hakikisha tu sehemu ya kukutania kupeana zawadi isiwe tofauti na kanisani,[emoji40] [emoji85] [emoji125]
 
Lala salama....
Naomba uniote ili nami nionje ladha ya kuotwa [emoji6] [emoji6]
Hahaha sasa nisipokuota wewe nani mwingine wa kumuota, tena saivi nakuota kama dozi, (asubuhi mchana na jioni) [emoji85] [emoji39] [emoji125]
 
Jamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Fungate limeisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mmerudi kwa pamoja karibuni aiseeh![emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Popoz wote nawasalimia pia usiku mwema
 
Back
Top Bottom