Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Ewaaah, ndo hiyo hiyo, unitembeleage basi, ujue nimemisi kufundisha[emoji39]Eeeh ninayo...si ile ile ya pluto mashariki? Au ushahama huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaah, ndo hiyo hiyo, unitembeleage basi, ujue nimemisi kufundisha[emoji39]Eeeh ninayo...si ile ile ya pluto mashariki? Au ushahama huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]I see...
Nakushauri ulale,ukiamka mtakuwa mmeshaongeza goli nyingine tatu hivyo matokeo yatakuwa 6-3
Hahaaaa umesahau na msemo wenu wa jaza ujazwe....Hahaha unajitia umesahau ile kauli ya mstaafu " Ukitaka kula sharti uliwe"
na Wahenga wako wakajazia na kamsemo kao ka "Zawadi ni zawadi"[emoji6]
We lala tu,na mimi nalala zangu sasa,nikaote nakusaidia kushangilia ushindi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo sipatagi usingizi nikikuachaga peke yako hapa kilingeni[emoji40]
Nakusubiri ukishasinzia na mimi ndo nalala[emoji39]
Meku, na leo usisahau kufunga geti, funguo utaziacha kwenye hicho kijiwe karibu na getiNaomba nifunge leo mangi au muda bado?
Hahaha, acha uoga, hakikisha tu sehemu ya kukutania kupeana zawadi isiwe tofauti na kanisani,[emoji40] [emoji85] [emoji125]Hahaaaa umesahau na msemo wenu wa jaza ujazwe....
Basi bwanaushaniogopesha sitaki tena zawadi kutoka kwake isije nitokea puani bure
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]We lala tu,na mimi nalala zangu sasa,nikaote nakusaidia kushangilia ushindi
Lala salama....[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]
Hahaha sasa nisipokuota wewe nani mwingine wa kumuota, tena saivi nakuota kama dozi, (asubuhi mchana na jioni) [emoji85] [emoji39] [emoji125]Lala salama....
Naomba uniote ili nami nionje ladha ya kuotwa [emoji6] [emoji6]
Fungate limeisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Popoz wote nawasalimia pia usiku mwema
Nashukuru kwa kuling'amua hilo.....mimi nililiona ila nikajikausha nisijeitwa mchochezi [emoji12] [emoji12] [emoji12]Fungate limeisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mmerudi kwa pamoja karibuni aiseeh![emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Asante kwa kutufungulia mamyGeti limefunguliwa popoZz
Geti limefunguliwa popoZz
Jamani Maserati, asali ya Gentries unaitwa huku[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]Honey...