JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ni nzurii kabisaa, weekend ndio inaanza mdogo mdogo za pilikapilika za hapa na pale?
Hivyo hivyo tuu ilimradi masaa yanakimbia siku zinasonga na uzee huo unatuingia.
I hate dis series aiseeh why tusingestuck mtoto awe mtoto tuu, kijana awe kijana tuu, wa makamo awe wa makamo tuu, na mzee awe mzee tuu kulikoni kubadilishana step ah [emoji41] maana wengine the more umri unavyozidi kusonga ndio mambo yanavyozidi kuwa magumu [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hahahaha!!! Jaman Pole ila sidhani kama kuna mtu angekubali kuwa mzee, maana nao ni shida Mungu ana makusudi yake sahihi
Ila yote kheri..!
 
Back
Top Bottom