Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo tuu ilimradi masaa yanakimbia siku zinasonga na uzee huo unatuingia.Ni nzurii kabisaa, weekend ndio inaanza mdogo mdogo za pilikapilika za hapa na pale?
Acha tuu yaanKweli.
Naona siku hizi hii ndio mida yako ya kukupata huku jukwaani, kulikoni jamani!!
Hahahaha!!! Jaman Pole ila sidhani kama kuna mtu angekubali kuwa mzee, maana nao ni shida Mungu ana makusudi yake sahihiHivyo hivyo tuu ilimradi masaa yanakimbia siku zinasonga na uzee huo unatuingia.
I hate dis series aiseeh why tusingestuck mtoto awe mtoto tuu, kijana awe kijana tuu, wa makamo awe wa makamo tuu, na mzee awe mzee tuu kulikoni kubadilishana step ah [emoji41] maana wengine the more umri unavyozidi kusonga ndio mambo yanavyozidi kuwa magumu [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa nini, au huko uliko majira yamebadilikaAcha tuu yaan
Okey basi ngoja niwe mpole tuu hakuna namna.Hahahaha!!! Jaman Pole ila sidhani kama kuna mtu angekubali kuwa mzee, maana nao ni shida Mungu ana makusudi yake sahihi
Ila yote kheri..!
Nipo job mpendwa ndio maana naingia na kutoka kidogo.Kwa nini, au huko uliko majira yamebadilika
Ila kuna wengine uzee wanajitakia, sijui kama umeshawahi waonaOkey basi ngoja niwe mpole tuu hakuna namna.
Mhhhhh sidhani aiseehIla kuna wengine uzee wanajitakia, sijui kama umeshawahi waona
Hahahaha!! Basi wewe sio mfuatiliaji,Mhhhhh sidhani aiseeh
Mmmhhh.Nipo job mpendwa ndio maana naingia na kutoka kidogo.
Nakuacha miss ney, ngoja nipge kaziMhhhhh sidhani aiseeh
Kumekucha na vikucha vyake luvHello bundi's and popoz's
Kumekucha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa moyo woteFungate limeisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mmerudi kwa pamoja karibuni aiseeh![emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ukuku umenikamata rafk kpenzKwan nani alikuteka we rafk angu kipenzi???