Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Usiku mwema MkuuJamani endeleeni kusukuma hili gurudumu mpaka kupambazuke.
Mimi nimepata dharura kidogo,wacha niwakimbie kwa muda. Usiku mwema wote [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku mwema MkuuJamani endeleeni kusukuma hili gurudumu mpaka kupambazuke.
Mimi nimepata dharura kidogo,wacha niwakimbie kwa muda. Usiku mwema wote [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Ungejua ni aina gani ya kinywaji ninachotumia usingesema ni chache lolchache sana najua ndio mwisho wako
Usiku mwema MkuuJamani endeleeni kusukuma hili gurudumu mpaka kupambazuke.
Mimi nimepata dharura kidogo,wacha niwakimbie kwa muda. Usiku mwema wote [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]wacha wee,hongeraNilikuwa nimelala kwenye kochi, sasa nimejikuta nipo kitandani[emoji19] [emoji19]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]u
Ahaa nipo huku pia vipi upo chupa ya ngapi ?
Kila siku tunapishana.Jamani endeleeni kusukuma hili gurudumu mpaka kupambazuke.
Mimi nimepata dharura kidogo,wacha niwakimbie kwa muda. Usiku mwema wote [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Unamatatizo gani umelamba sumu ya panya upatiwe maziwa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Napenda maziwa victoria, nyasa, na eyasi ebu fanya mambo hapoUnamatatizo gani umelamba sumu ya panya upatiwe maziwa?
Sikuulizi maana najua siwezi kukijua ni cha Earth au space orbit?Ungejua ni aina gani ya kinywaji ninachotumia usingesema ni chache lol
Ahsanteee.[emoji23][emoji23][emoji23]wacha wee,hongera
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usiku mwema Mkuu
Ni ya nchi gani huko duniani?Napenda maziwa victoria, nyasa, na eyasi ebu fanya mambo hapo
Nitagugo, gugo ni kila kitu hata JF ipo gugoo....Ni ya nchi gani huko duniani?
SawaMimi leo natoboa,mkiondoka funguo mniachie mimi
ahaa nyasaNitagugo, gugo ni kila kitu hata JF ipo gugoo....
Yaaanii mule muleee....ahaa nyasa
Na Bwana awe nawe OL5 mpendwa ndo umeamka
Au wewe pia wabaki tulinde woteSawa