JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji24] [emoji24] [emoji24] mwalimu wangu Nleterewa Nganengo..kwani ulinifundisha huu mwandiko wa kiume ? [emoji134] [emoji134]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili swali ntakujibu kesho, kwa hii dawa ya ubongo niliyotumia ntajikuta nimejibu mashudu[emoji6]
 
Usinicheke mkuu,nionee huruma mwenzio maana wahenga walisema hujafa hujaumbika...[emoji134] [emoji134]
Hahaha, hizo sura siku izi ndo zinaolewa ujue, unafikiri kufungua hivi vyuma vilivyokaza namna hii mchezo[emoji12] [emoji125]
 
Hivi wewe na mimi nani mwl.na nani mwanafunzi?
Nikumbushe tafadhali maana nishasahau kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wote ni wanafunzi na wote ni walimu.
Utofauti wetu:-
Mimi sikutozi pesa, wewe unatoza (naumia sana)
Mimi natumia bakora kwenye ufundishaji (hapa kidogo afadhali napunguza machungu ya ada)[emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom