T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Kuna aina ngapi kuu za kukojoa?Ndio,nieleweshe....
Tuanzie hapo kwanza then ndo nakuelewesha
Tehteh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aina ngapi kuu za kukojoa?Ndio,nieleweshe....
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji24] [emoji24] [emoji24] mwalimu wangu Nleterewa Nganengo..kwani ulinifundisha huu mwandiko wa kiume ? [emoji134] [emoji134]
Hivi wewe na mimi nani mwl.na nani mwanafunzi?Hahaha bakora huwa naiacha mlangoni nikiingia darasani mpaka muda wa kutoka ndo naondoka nayo[emoji40]
Huyu ticha akili zake anazijua mwenyewe[emoji125]
Hata nikija huko siwezi kupigana ngumi maana mimi ni mnyonge tena dhaifu sana,hivyo wenye nguvu zao watanihurumia tu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hujagi kwenye jukwaa la Makinikia ndio maana hupati ngumi za mods
ukipata majibu nishtue nikusaidie ku share!Kuna aina ngapi kuu za kukojoa?
Tuanzie hapo kwanza then ndo nakuelewesha
Tehteh
Bahati nzuri hata kusoma sijui, ila kama kuna kitu jicho la tatu (rejea Uzi wa Mshana) limenionyesha, nikaona nipite kimya[emoji40] [emoji125]Kwanini sasa umesoma yasiyokuhusu?
Umeanza lini hiyo tabia yako ya uchoyo wa balimi? [emoji39] [emoji39] [emoji39]Na kweli, ngoja nimalizie balimi yangu, ndo niondoke kulala
Aina 2Kuna aina ngapi kuu za kukojoa?
Tuanzie hapo kwanza then ndo nakuelewesha
Tehteh
Kwakweli sitakusamehe kwa hili la kunifundisha kuandika mwandiko wa kiume,unaosababisha watu wadhani mimi ni mwanaume [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili swali ntakujibu kesho, kwa hii dawa ya ubongo niliyotumia ntajikuta nimejibu mashudu[emoji6]
Bhasi ndo tulivyokuwa tunamaanisha sisi mkuu ThadAina 2
1.Kukojoa umesimama
2.kukojoa umechutama
Hahaha, hizo sura siku izi ndo zinaolewa ujue, unafikiri kufungua hivi vyuma vilivyokaza namna hii mchezo[emoji12] [emoji125]Usinicheke mkuu,nionee huruma mwenzio maana wahenga walisema hujafa hujaumbika...[emoji134] [emoji134]
Keshajibiwa,kamsaidie kushareukipata majibu nishtue nikusaidie ku share!
Jicho lipi? Hilohilo la kwenye paji la uso au lingine? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bahati nzuri hata kusoma sijui, ila kama kuna kitu jicho la tatu (rejea Uzi wa Mshana) limenionyesha, nikaona nipite kimya[emoji40] [emoji125]
Tayari nimepata majibu mkuuukipata majibu nishtue nikusaidie ku share!
Hili kweli chenga la mwili [emoji134] [emoji134]Bhasi ndo tulivyokuwa tunamaanisha sisi mkuu Thad
Tehteh [emoji125]
Kwani kuna aina ngapi za jicho?Jicho lipi? Hilohilo la kwenye paji la uso au lingine? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tatizo ni kwamba waoaji wananipita bila kutambua kuwa mie ni muolewaji....! [emoji18] [emoji18] [emoji18]Hahaha, hizo sura siku izi ndo zinaolewa ujue, unafikiri kufungua hivi vyuma vilivyokaza namna hii mchezo[emoji12] [emoji125]
Tehteh...Hili kweli chenga la mwili [emoji134] [emoji134]
Aina 2 mkuuKwani kuna aina ngapi za jicho?
Wote ni wanafunzi na wote ni walimu.Hivi wewe na mimi nani mwl.na nani mwanafunzi?
Nikumbushe tafadhali maana nishasahau kabisa [emoji4] [emoji4] [emoji4]