Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wengine hawanijui/hajanizoea sasa mimi nitaishiwa point ujueMbona hata wewe ni timu yetu, we jichanganye tu hili ni shamba la bibi kila kilichopo ni chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hawanijui/hajanizoea sasa mimi nitaishiwa point ujueMbona hata wewe ni timu yetu, we jichanganye tu hili ni shamba la bibi kila kilichopo ni chako
Ohooo na wewe umeanza tabia ya mwl.wangu(jipu) Nleterewa Nganengo ya kutaka kunichapa? [emoji126] [emoji126] [emoji126]Mmmmhhh.
Ebu jichagulie adhabu kabisa na uje na kiboko pia[emoji2] [emoji2]
Jichanganye tu,kwani mimi na wewe tulikuwa tunafahamiana?Wengine hawanijui/hajanizoea sasa mimi nitaishiwa point ujue
wewe umelala?Tembea uone aisee huku hamlali kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kuna mapopo mikia tu!Mmmh huku kuna mapopo bawa!!!????[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ndo najiandaa nilale hvowewe umelala?
Ndio huu,karibu tuusongesheusiku wa manane jf
Ndio kwanza kumekucha,karibu tukeshe woteTembea uone aisee huku hamlali kweli?
acha tu nikeshe siku nikifa nitapata muda wa kutosha kupumzika!Ndo najiandaa nilale hvo
unalalaje auna mwanamke mkuu.hapa mwendo wa moves xxxx
7bu za kutokulala huu Uzi itakua ni stress za ndoa kwa waliooaNdio kwanza kumekucha,karibu tukeshe wote
Mkuu umewaza mbali!!acha tu nikeshe siku nikifa nitapata muda wa kutosha kupumzika!
kwani wewe peponi hendi kwenda?Mkuu umewaza mbali!!
Nakosaje kwenda sasa kwa mfano?kwani wewe peponi hendi kwenda?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh!acha tu nikeshe siku nikifa nitapata muda wa kutosha kupumzika!