Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Imeniuma sana yani au wazungu nao wanaroga kwani?Nimetoka kuchek game Arsenal vs Liverpool... Game ilikua ya ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeniuma sana yani au wazungu nao wanaroga kwani?Nimetoka kuchek game Arsenal vs Liverpool... Game ilikua ya ajabu
Haha sahv yuko busy anamhudumia bi mkubwaaNakuja ulipo tupige story..Saint Ivuga si ametoka?
Ndio Mpira chiefNimetoka kuchek game Arsenal vs Liverpool... Game ilikua ya ajabu
Basi mi ngoja nikupe kampan mpaka atakapo rudiHaha sahv yuko busy anamhudumia bi mkubwaa
Kwema Mkuu tupo mida wenyeweKwema humu wapendwa?
Bado mapemaUsiku mwema. Muanze siku mpya vyema
Leo naona una like tuUsiku mwema. Muanze siku mpya vyema
Ntashukuru sanBasi mi ngoja nikupe kampan mpaka atakapo rudi
Madai yako unasoma kimya kimyaLeo kuna neema kweli
Ni kweli ila naona usingizi unaninyemeleaBado mapema
Mambo vip! Nilikua na check mpiraLeo naona una like tu
Mpira haujawah kuwaacha watu salam...polenImeniuma sana yani au wazungu nao wanaroga kwani?
Usijali..Maisha ni kusaidianaNtashukuru san
Au na ww unahuzunika kwa ajil ya mpiraMambo vip! Nilikua na check mpira
Yeah kama kawaida falsafa yanguMadai yako unasoma kimya kimya