Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Ni kweli ila naona usingizi unaninyemelea
Ndo tumeliamsha dude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila naona usingizi unaninyemelea
Hata nikihuzunika matokeo haya wezi kubadilika. Thad amepotelea wapi siku hiziAu na ww unahuzunika kwa ajil ya mpira
Watoto wamelala au sio. Basi twende mdogo mdogoNdo tumeliamsha dude
Sijui kama wako macho, hahahaWatoto wamelala au sio. Basi twende mdogo mdogo
Atakua anahudumia ndoa isitetereke...pole lkn kama nakuona vile unavosikitikaHata nikihuzunika matokeo haya wezi kubadilika. Thad amepotelea wapi siku hizi
Ni kweli kabisaaUsijali..Maisha ni kusaidiana
Mzee watoto gan haoWatoto wamelala au sio. Basi twende mdogo mdogo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] asante ndugu. Mambo yanaendaje? Msimu wa siku kuu ndio huo umeanzaAtakua anahudumia ndoa isitetereke...pole lkn kama nakuona vile unavosikitika
Watoto kama watoto. Dingi mambo vipi?Mzee watoto gan hao
Huku kawaida ila naona tu watu wako kwenye shamrashamra[emoji4] [emoji4] [emoji4] asante ndugu. Mambo yanaendaje? Msimu wa siku kuu ndio huo umeanza
Aisee fresh kamanda habar ya weekendWatoto kama watoto. Dingi mambo vipi?
Karibu kijiweniNawasalimu
Leo mpaka 5:00am x mass imeanzaKaribu kijiweni
Fresh aisee. Sijui hii tunaita weekend au nini maana mpaka j5 ni nomaAisee fresh kamanda habar ya weekend
Madam kutoboa utaweza?Leo mpaka 5:00pm
Inaitwa weekend ndefuuu ila kama mimi sina weekend kabisaaFresh aisee. Sijui hii tunaita weekend au nini maana mpaka j5 ni noma
Tena ukicheza 6:30amMadam kutoboa utaweza?