Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Okey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa?leo nipo mpweke
Nipo hapa mpaka asubuhi
Bila sababu tu!Kisa?
mbona ghafla,Bila sababu tu!
Sometimes huwa inatokea.
Umenikumbusha huu msemo Aisee!mbona ghafla,
tufanyeje sasa?
Ndo nawaza hapaUmenikumbusha huu msemo Aisee!
'tufanyaje'🤣
Achana na mimi!Ndo nawaza hapa
Hii boredom yako tunaishughulikiaje
A call maybe?😅
🤣🤣🤣🤗Kumbe uzi huu siku hizi umekuwa 'wa usiku wa manne sio tena usiku wa manane'?
Jamani, nimekugusa?😅Achana na mimi!
Napata nafuu, namuona psychologist....Vipi umeshapata nafuu/ umepona?
Au umerudi kwa kasi kwenye michezo yetu?
😂umetafsiri vibaya! Nilitaka ilete maana kwamba tushughulikie kwanza tatizo lakoJamani, nimekugusa?😅
AIsee! Hiyo hela bora tungeenda kula mihogo Coco beach...Napata nafuu, namuona psychologist....
wewe ndo umekuja na tatizo, umeboeka, mimi nikaona fursa kama kawaida yangu😂😂umetafsiri vibaya! Nilitaka ilete maana kwamba tushughulikie kwanza tatizo lako
natumia bimaAIsee! Hiyo hela bora tungeenda kula mihogo Coco beach...
Report ya psychologist naomba mama apewe ili ajue hela zake zinapoishia😂wewe ndo umekuja na tatizo, umeboeka, mimi nikaona fursa kama kawaida yangu😂
natumia bima
Anajua, bima si analipia yeyeReport ya psychologist naomba mama apewe ili ajue hela zake zinapoishia😂
Btw! Mimi sina tatizo kubwa kukuzidi
Ili kuprove sina tatizo kubwaAnajua, bima si analipia yeye
Psychologist haruhusiwi kuvunja faragha yangu, hawezi sema
Labda una tatizo lako kubwa unaogopa kusema, najuaje?
Najuaje kama unalala kweli?Ili kuprove sina tatizo kubwa
Sinilisema nipo hapa hadi asubuhi!?
😂Usingizi umenibana nalala zangu mie!
Kama una trust issues tutazungumza kesho.Najuaje kama unalala kweli?
Haya mida.
Hellow umesaidika?jamiiforums usiku wa manane masterchief Nimekwama hapa mwenye uwezo wakuniwekea 1,700 tigopesa ..please msaada wenu.
Kesho mapema tu nitarefund hicho kiasi inshaa Allah
0677 818283