JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kumbe uzi huu siku hizi umekuwa 'wa usiku wa manne sio tena usiku wa manane'?
 
Report ya psychologist naomba mama apewe ili ajue hela zake zinapoishia😂

Btw! Mimi sina tatizo kubwa kukuzidi
Anajua, bima si analipia yeye

Psychologist haruhusiwi kuvunja faragha yangu, hawezi sema

Labda una tatizo lako kubwa unaogopa kusema, najuaje?
 
jamiiforums usiku wa manane masterchief Nimekwama hapa mwenye uwezo wakuniwekea 1,700 tigopesa ..please msaada wenu.

Kesho mapema tu nitarefund hicho kiasi inshaa Allah
0677 818283
 
Back
Top Bottom