Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nimecheki TV macho yanauma. Sema uzuri leo hakuna joto sanaaa.Kaka natazama Hapa godfather of Harlem ni series Kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheki TV macho yanauma. Sema uzuri leo hakuna joto sanaaa.Kaka natazama Hapa godfather of Harlem ni series Kali sana
Kaka nunua feni yenue upepo mzuri, Kama pisi mna chukua Kali, na feni iwe ya Bei ghali Sasa😂😂Nimecheki TV macho yanauma. Sema uzuri leo hakuna joto sanaaa.
🤣 Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?Kijana nili mpiga limitations za mazoea, ghafla kageuka hater ana bwabwaja ka katiwa mashine ya mahindi🤓🤣
Mimi naijua, ime fanyaje ??, au ndo uli graduate hapo, 😁nimekuswalika Unaijua Sumve girls?
Sasa saa 8 usiku shughuli gani. Nitaitwq mchawi
Mjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.Sasa saa 8 usiku shughuli gani. Nitaitwq mchawi tu
Haifai hata kuni sogelea, naeza m knock down nimtoe ubongo😂.🤣 Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?
Yeah naifahamu, umesoma hapo?nimekuswalika Unaijua Sumve girls?
Dah 😁😂😁 pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapaKaka nunua feni yenue upepo mzuri, Kama pisi mna chukua Kali, na feni iwe ya Bei ghali Sasa😂😂
Ukiwa na huduma ya kutuma na kutoka pesa, karibu na clubs Basi uta piga hela kinyamaMjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.
Huku Ni Kwema Kabisa BrotherNi kwema kabisa ndugu yangu, Natumai mna endelea vyema huko!?
Labda A, ilo B haiwezekani kwasababu gari inatembelea rim sahivMjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.
pale hau graduate unamaliza tu . nilikua na siku kadhaa za maisha mafupiMimi naijua, ime fanyaje ??, au ndo uli graduate hapo, 😁
Sasa why ulalamike joto Tena??Dah 😁😂😁 pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapa
Inakuwa Kama Pharmacy Zile Za 24HrsUkiwa na huduma ya kutuma na kutoka pesa, karibu na clubs Basi uta piga hela kinyama
Ko 2015 ndo ume maliza hapo 😁🤣, wali kufanyaje tena??pale hau graduate unamaliza tu . nilikua na siku kadhaa za maisha mafupi
Kaka yaani ni mzunguko mzuri, ukiwa na kichenji kime tulia ni biashara nzuriInakuwa Kama Pharmacy Zile Za 24Hrs
Hili Joto Sometimes Inabidi Ufunge Panga Boya Moja Juu Kupigana Nalo😂Dah 😁😂😁 pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapa