JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

3:46 AM Lomalisa Mutambala anamwaga pesa hapa. Haya ngoja tuone mwisho wa msimu. 😂🥹😳🙌🏻
 
Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂
Hujawahi kuona baada ya kuleta ubaridi likashusha joto na kuamua kulizimia mbali? Hali ya pangaboi au fen ya kawaida kusupply hewa yenye joto au ubaridi itategemea na kiwango cha hewa kinachoingia na kutoka ndani ya nyumba/chumba chako (Air ventilation). Kama ndani ya nyumba yako kuna mgandamizo wa hewa na nje joto ni kali it's obviously pangaboi lako litasupply hewa yenye ujoto na kinyume chake ndio hivyo hivyo mkuu
 
4:03 AM Ukinyimwa kazi na hela usimchukie mtu binti tafuta na wewe za kwako usipende vya Bure utapakuliwa
 
Back
Top Bottom