Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Poor Brain nanjilinjii tume kamata nyati Leo, toka asubui ni vurugu tu🤣🤓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee yuko wapi siku hizi? Alikuwa mwana sana. Tumepoteza kitambo sana mbaya zaidi sikuwa na namba yake ya TZHuyo ni mdogo wangu chief
Whats ap big papi🤓Aiseeeeeeh!
Basi mnatisha aiseeKaka ni verse yenye ukweli hio, Wanaume wa mikoani hatuna mengi
Ndio napambana kumpiga saundi, kama akizielewa mambo ya lindo ninawaachia nyie mpambane na hali zenu 😀Safi sana kaka huyo mwambie akupeleke Moscow ukale bia
Kabisa kaka Moscow ni pazuri sana pale full baridi na vodka nzuri za kirussia Mimi huwaga naendaga sana pale ubalozini kwao maeneo ya aghakhan kule kujifunza kirusiNdio napambana kumpiga saundi, kama akizielewa mambo ya lindo ninawaachia nyie mpambane na hali zenu 😀
Yuko Kakola huko anazisaka noti chiefPoor Brain nanjilinjii tume kamata nyati Leo, toka asubui ni vurugu tu🤣🤓
Swalamaaa kabisa,what's good with you?Whats ap big papi🤓
am quite gud, but dude cant you grow up.Swalamaaa kabisa,what's good with you?
Stress inakumaliza tabia kijana,acha.
Una fahamu cool brize ilipo kuwa zamani??Yuko Kakola huko anazisaka noti chief
Mapenzi haiko na shida ila shida ni wewe,umekula bangi siku hizi?am quite gud, but dude cant you grow up.
Kwani mapenzi Ina shida gani duniani 🤣
Kaka I have been a gud sibling since day 1, ni vile tu am trying to tell the haters wame wrong step.Mapenzi haiko na shida ila shida ni wewe,umekula bangi siku hizi?
Kila nikikukuta sehemu unarusha maneno machafu hadi najiuliza huyu mdogo wangu ubongo wake unajaa maji na kupungua.