JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mapenzi haiko na shida ila shida ni wewe,umekula bangi siku hizi?

Kila nikikukuta sehemu unarusha maneno machafu hadi najiuliza huyu mdogo wangu ubongo wake unajaa maji na kupungua.
Kaka I have been a gud sibling since day 1, ni vile tu am trying to tell the haters wame wrong step.

Few days back, nili cut ties na Jamaa alikuwa ni Kama bestie.
Suddenly aka geuka hater na kuanza ni insult

Ila nitakuja uni shauri how to deal with the devil's🤒
 
Back
Top Bottom