JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona hili lilikua chimbo langu kabisaa, nilikua nabebika na Mjep yaan tunalinda haswaaa.

Baadae nkaonaa nisepee kwan, nikahamia makapuuuu nako nkaswampaaaa wee, aaah nkaamua sasa niwe napita napita huko nje kusuuza macho tyuuh.

Hapa mie ni mwenyejii kabisaa.

hahaha sawa kizurure[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo leo ni kidhungu
emoji38.png
emoji38.png
,,

sijambo dear vip wew huko
Namshukuru Mungu mpendwa , kizungu eti😂😂
 
Back
Top Bottom