Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kuhusu kutembea na vibegi, baba Ali nambia niwa achie wauza ukwaju.nilitaka nimpiku Intelligent businessman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kutembea na vibegi, baba Ali nambia niwa achie wauza ukwaju.nilitaka nimpiku Intelligent businessman
Njoo kwa lishangaziHahaha , shangazi una tabu Sana
Sijui huwa nikoje, mwanamke aki zungumzia sex party yake.Njoo kwa lishangazi
UKipumzisha fuvu saa hiz hutoamka Fajir... Au huswali????Acha nipumzishe sasa hili FUVU, baada ya kushiba DAKU.
wa kike au kiume??Nahisi kuna wachawi sita wameingia sasahivi chumbani kwangu hapa Kasulu…nifanyeje?
Ndio nimejipumzisha hapa huku naperuzi peruzi kidogo.UKipumzisha fuvu saa hiz hutoamka Fajir... Au huswali????
Jarib kusoma soma....ndo mwezi wenyewe huu
Waambie hawakuwezi mkuu, wataondoka wenyewe.Nahisi kuna wachawi sita wameingia sasahivi chumbani kwangu hapa Kasulu…nifanyeje?
Ngoja nikuache mkuu....wacha nihamie kufanya MURAJAH. ByeNdio nimejipumzisha hapa huku naperuzi peruzi kidogo.
Muda wa FAJIR, kuswali muhimu mkuu.
Sawa mkuu me bado nipo nipo kidogo.Ngoja nikuache mkuu....wacha nihamie kufanya MURAJAH. Bye