Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wingu hili....nilijua tu lazima ulale mapema.I mean no malice to nobody
Shangazi nime cheka kwa sauti 😀, nilale kwanini ??Na wingu hili....nilijua tu lazima ulale mapema.
....nasikia huko uliko kuna wingu la kufa mtu + duvet kitandani,...unadhani huu uzi utauona?Shangazi nime cheka kwa sauti 😀, nilale kwanini ??
Kwanza Sina binti yoyote🤣, Sija lala Niko na mambo mengine tu....nasikia huko uliko kuna wingu la kufa mtu + duvet kitandani,...unadhani huu uzi utauona?
Labda kama uko na mkwe wangu, anakuchangamsha damu
Mambo mengine....🤔Kwanza Sina binti yoyote🤣, Sija lala Niko na mambo mengine tu
Hapana siji chukulii sheria mkononi, ni mipango mwingine tu Niko nayo hapa.Mambo mengine....🤔
Au unajichukulia sheria mkononi?
Usiku wote huu mpwa?
....lala bhana.
Haya, ngoja basi mie nikuache ufanye hizo mishe zako.Hapana siji chukulii sheria mkononi, ni mipango mwingine tu Niko nayo hapa.
Njoo Dm pleaseHaya, ngoja basi mie nikuache ufanye hizo mishe zako.
Uwe na wakati mzuri.
[emoji42][emoji42][emoji42]
Usingizi mwema shangaziHaya, ngoja basi mie nikuache ufanye hizo mishe zako.
Uwe na wakati mzuri.
😴😴😴
Kuna nini huko?
Asante mdogo wangu.Usingizi mwema shangazi
Mi naunganisha siku, kulala sidhani aiseeAsante mdogo wangu.
Nawe pia.
Ohhhh!!Mi naunganisha siku, kulala sidhani aisee