JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kweli Mkuu

Kama una nafasi Jenga nyumba za Kupangisha za kutosha tu

Ukifika Uzeeni hutahitaji kuwasumbua watoto wako wakutumie hela ya Matumizi.

Utajikuta unapata meseji Kila Mwezi za wapangaji kukutumia Kodi zako tu

Wakati huo utakuwa unacheza golf na Wazee wenzako viwanja vya Gymkhana huku unakula totozi moja ya viwango kutoka hapo IFM [emoji12]

Tafadhali usiizingatie hiyo Aya ya mwisho nimeandika kuchagiza tu [emoji12]

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yes my love...all the best....sema huyo mpenzio ukiondoka kidogo tu anampa jirani mpaka majirani tunaanza kumpea yote [emoji6]

godness[emoji24] hii ndo kitu sitaki sijui nifanye nin atulie na mmi, b's najitahid sana kumpatia kila kitu anacho kihitaji kwa mda sahihi lakin wapi!!, sijui nafeli wapi dear[emoji31][emoji31]
 
Back
Top Bottom