Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Matikiti KudondokeaaMatikiti kudondoka[emoji445][emoji444]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matikiti KudondokeaaMatikiti kudondoka[emoji445][emoji444]
Hahaha........hapo tutaenda sawaBasi babu tusifike huko😳 Me nimekubali kutulia naye🥺
Sawa babu mwambie bibi aghairi sasa ule mpangoHahaha........hapo tutaenda sawa
Ngoja tuanze maandalizi kabisa ya harusi yenu na Mjukuu wangu 🤗
Wife bora turudiane tuwaaibishe hawa majirani
My dear tushayamaliza hayo nimekuletea zawadi [emoji3059]
Hahaha........hapo tutaenda sawa
Ngoja tuanze maandalizi kabisa ya harusi yenu na Mjukuu wangu [emoji847]
to yeye hizi avatar jamaniNimeona kama mdada pale na mtoto au ni mkaka....just check your picture ya bia
Bora umeniwahi mapema Mjukuu, nilishaanza kupokea vipande 30 vya hela kama alivyofanya Yuda enzi anamsaliti Bwana Yesu 🤗babu usinisaliti kisa mtu baki,, naomb tuendelee na mpango wetu puliziiii
Hope kumbe we mpare
Usijali Mkuu, mpango umesitishwaSawa babu mwambie bibi aghairi sasa ule mpango