Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mara moja nakulaga ganja, mlinzi Nikae kijanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..mimi ningekua na sapoti home ningekua ulaya saa hz nakinukisha...ila home na mpira ni paka na panya nilipoumia ndio kabisa..nikaachana nao ...Hongera sana kufikia stage ya kutaka kucheza mpira wa kulipwa...
Binafsi nilicheza mpira kidogo sana as niliambiwa ukifeli ndiyo biashara ya Shule itakuwa imeishia hapo
Kwahiyo nilitumia muda wangu mwingi darasani kuliko michezo
Ili kuimarisha mahusiano/Ndoa, ni lazima uwe mtu wa tizi kidogo
Changamoto ya famili nyingi Bongo wanaamini ili kutoboa maisha lazima umiliki madigrii mengi.Hahahahaha..mimi ningekua na sapoti home ningekua ulaya saa hz nakinukisha...ila home na mpira ni paka na panya nilipoumia ndio kabisa..nikaachana nao ...
Yes siku hz mazoezi ya kulinda NDOA tu na si kingine
Hahahahaha..ni kweli kabisa, ila na mm pia nilichangia maana shule zilikuwepo na mpira ulikuwepo.. ila home walitaka shule zaidi ..Changamoto ya famili nyingi Bongo wanaamini ili kutoboa maisha lazima umiliki madigrii mengi.
Hawaamini katika Vipaji i.e Mpira, Muziki,Maigizo, riadhaa, ndondi n.k
Hawaoni akina Diamond/Alikiba n.k Wana Kidato cha nne lakini wamejipata kimaisha kupitia Vipaji
Jamii inahitaji kubadirika kwenye hili japo sio rahisiHahahahaha..ni kweli kabisa, ila na mm pia nilichangia maana shule zilikuwepo na mpira ulikuwepo.. ila home walitaka shule zaidi ..
Na hata serikali haiamini vipaji vingine wao wanaamini vipaji ktk masomo tu ndio maana unakuta kuna shule za vipaji ktk masomo lkn hkn shule za serikali za vipaji vya michezo
Mie nadhani ni mkakati kuhakikisha vipaji vya michezo haikui ..maana wanajua wakivieendeleza na kuvikuza watoto wa kimaskini watatoboa wakitoboa watapata exposure hivyo itakua ngumu wao kuwatawala... hivi unadhani Tanzania kwa vipaji tulivyo navyo wangeenda ulaya kisha warudi wafanye kama wanavyofanya wachezaji wa west kule ingekuaje...yaani kama vile Saido Mane amejenga zahanati na iko full..Kanu kajenga Zahanati ya Moyo kwao ...unadhani hapa ingekuaje? So vipaji vyetu vinauliwa na wenye mamlakaJamii inahitaji kubadirika kwenye hili japo sio rahisi
Umesema sahihi MkuuMie nadhani ni mkakati kuhakikisha vipaji vya michezo haikui ..maana wanajua wakivieendeleza na kuvikuza watoto wa kimaskini watatoboa wakitoboa watapata exposure hivyo itakua ngumu wao kuwatawala... hivi unadhani Tanzania kwa vipaji tulivyo navyo wangeenda ulaya kisha warudi wafanye kama wanavyofanya wachezaji wa west kule ingekuaje...yaani kama vile Saido Mane amejenga zahanati na iko full..Kanu kajenga Zahanati ya Moyo kwao ...unadhani hapa ingekuaje? So vipaji vyetu vinauliwa na wenye mamlaka
Ndiyo iko hivyo Mkuu na ndio maana timu za Kariakoo zipo zipo na watawala wana hodhi viwanja vyote vya michezo na hawaviendelezi sio bahati mby ni kwa makusudi ...na hata wale Azam mnaosema wamekuja kuleta mabadiliko nao pamoja na hela zao wana struggle..hi ni mikakati Mkuu..kama kweli kijana ni Taifa la kesho kwann wasiandaliwe sasa ?Umesema sahihi Mkuu
Shida yetu sisi ni mfumo kushindwa kusaidiaNdiyo iko hivyo Mkuu na ndio maana timu za Kariakoo zipo zipo na watawala wana hodhi viwanja vyote vya michezo na hawaviendelezi sio bahati mby ni kwa makusudi ...na hata wale Azam mnaosema wamekuja kuleta mabadiliko nao pamoja na hela zao wana struggle..hi ni mikakati Mkuu..kama kweli kijana ni Taifa la kesho kwann wasiandaliwe sasa ?
Nakupa mfano hai Senegal..walianzq na akina diouf kutengeneza mazingira ya vijana kucheza mpira na leo hii afrika Senegal ni kinara ktk soka la vijana na hata Rais ni kijana..njoo hapa sasa..
Mfumo unawataka wao tu na watoto wao na si vinginevyo kwa sie tuliokulia katikati ya mifumo tuyajua hayo na kuyaona..kifupi kama hauko ktk huo mfumo ujue utabaki kuwa hoya hoya tuShida yetu sisi ni mfumo kushindwa kusaidia
Nadhani Mfumo iliyopo unasiadiana na Serikali kudumaza maendeleo ya Nchi yetu Kwa kushindwa kutoa njia mbadala wa namna sahihi ya kwenda mbele.
Inafikia wakati hadi maombi ya Passport za kusafiria walikuwa wanaweka uzibe ili watu washindwe kutoka nje.
Angalia hata hapo Kenya tu jinsi ilivyosapoti Wakenya kwenda Nje ya Nchi kutafuta maendeleo na kisha hayo maendeleo kuyahamishia Nchini mwao
Sisi bado tumelala
Umesema sahihi MkuuMfumo unawataka wao tu na watoto wao na si vinginevyo kwa sie tuliokulia katikati ya mifumo tuyajua hayo na kuyaona..kifupi kama hauko ktk huo mfumo ujue utabaki kuwa hoya hoya tu
Nikupe kitu..Ccm ina mfumo wakulindana wao kwa wao hasa wale vigogo
Lowassa alitaka kuwa raisi ili huu mfumo uwafikie wengi na ndio maana uliona Lowassa alipendwa sana maana yeye alitaka wote wafaidi hata kdg ..mbaya hakufanikiwa...Magu yeye alitaka kuvunja kabisa huu mfumo kilichomkuta wote tunajua ..leo kuna watu wanasifiwa amabao ni wale wale na Magu na EL hawapo ...kama hamko ktk mfumo mtabaki kulalamika na kuponda watu mitandaoni huku wao wanaishi vzr sana
Hahaha...........lazima wajue circle yako ndiyo wakuingize kwenye systemHahahahaha ngoja nikupe hii..kipindi fulani hivi niko scout primary zikatokea nafasi za kwenda scout Ureno ..ktk majina baadhi hatukuwepo maana vigezo vilikataa ila cha kushangaza mchujo tullipita ..hahahahahaha wenye sifa baadhi wakaachwa ..ingawa sikuenda hy safari nilikua naumwa ila ili angaliwa huyu nani ni mtoto wa nani