JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha...........lazima wajue circle yako ndiyo wakuingize kwenye system

Kama tayari upo kwenye mfumo wao, jitahidi uongeze sifa za ziada kidogo mfano vi-masters hata kutoka Open University ili Siku Moja upewe kitengo ukiongoze

Wengine ndiyo tunajaribu ku-penetrate maana hatukuwa na watu kati ila nategemea watoto wangu wataingia kwenye system as tayari nimeanza kutengeneza njia kwaajili yao
Safi sana hiyo ya watoto muhimu sana
 
Diha wangu nilijitahidi kumfanya awe wangu lakin wapi
emoji31.png
, huy ni sikio la kufa, hap maji yamenifika machoni na sio shingoni tena
emoji21.png
Shadow7
Ngoja nimpigie chenja moja Saameja katendwa ............(Anak..........) atamalizia mwenyewe chenja
 
Back
Top Bottom