Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikubaliani, japo sikuwepo wakati mnakubaliana 🤣 🤣 🤣 sameja ni wakooo mahihapan kabisa dear,, tumeshashindwana na huyu sameja wako yupo free kufanya anacho taka[emoji16][emoji3061]
Sikubaliani, japo sikuwepo wakati mnakubaliana [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] sameja ni wakooo mahi
Safi sana hiyo ya watoto muhimu sanaHahaha...........lazima wajue circle yako ndiyo wakuingize kwenye system
Kama tayari upo kwenye mfumo wao, jitahidi uongeze sifa za ziada kidogo mfano vi-masters hata kutoka Open University ili Siku Moja upewe kitengo ukiongoze
Wengine ndiyo tunajaribu ku-penetrate maana hatukuwa na watu kati ila nategemea watoto wangu wataingia kwenye system as tayari nimeanza kutengeneza njia kwaajili yao
Wewe achana na mapenzi njoo tule ngadaDiha wangu nilijitahidi kumfanya awe wangu lakin wapi[emoji31], huy ni sikio la kufa, hap maji yamenifika machoni na sio shingoni tena[emoji21]
Wewe achana na mapenzi njoo tule ngada
Tulia giza liingie twende pale fyade tukasokote[emoji23][emoji23] uhakika mtu wangu aya makitu siyawezi bora nirudi kuwa msela[emoji1673]
Tulia giza liingie twende pale fyade tukasokote
Hizi wiki mbili za nyuma nilikuwa na mambo mengi sana, nilikuwa nasafiri safiri....baridaa,, anyway alaf mbon ulipotea bila kuaga
Nimeizoom ila masameja wanavimichezo sio jipya kabisa wewe muulize kama anamaji tu au anaropoka na ugoro wakeile 3sam haujaiona eeee[emoji23], nilihis utakua upande wangu aloooo bora nibaki na shemej yang V yeye yupo rili kwangu
Hizi wiki mbili za nyuma nilikuwa na mambo mengi sana, nilikuwa nasafiri safiri....
Kipengele....
Nimeizoom ila masameja wanavimichezo sio jipya kabisa wewe muulize kama anamaji tu au anaropoka na ugoro wake
Bado tofali halijachomolewa au ndo basi tenaNimeizoom ila masameja wanavimichezo sio jipya kabisa wewe muulize kama anamaji tu au anaropoka na ugoro wake
Sijui unanichukuliaje yaani😆nikajua umefichwa kama mboso bwana[emoji38], mara moja moja uwe unatuaga wana kama vipi
anamaanisha kabisaa huy ndivyo alivyo ni anaongea kiutani utani ila amedhamiria

Sema kweli.. bwana mi nacheka tuinaisha kesho tareh 29, ila kama nimeizoea hii tayari nifanyejeBado tofali halijachomolewa au ndo basi tena
Sijui unanichukuliaje yaani[emoji38]
Sina wa kunificha