Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi too nakusalimiaa tu mpenziHi cute!☺️
😍🙏🏽🙏🏽Hi too nakusalimiaa tu mpenzi
Njoo usiku utatukutaHapa nyumbani niadje wakubwa ,
🤣Njoo usiku utatukuta
Karibu mkuuHapa nyumbani niadje wakubwa ,
Asante mzuriKaribu mkuu
Mimi sio mgeni ni guest skuwa nmejisajiliNjoo usiku utatukuta
We si upo hapo Mbagala haya huo usiku umekuja vp mchumba.Usiku mwema
OyooooWe si upo hapo Mbagala haya huo usiku umekuja vp mchumba.
😁😁
haya karibu mdauMimi sio mgeni ni guests skuwa nmejisajili
😳mbona umekuja kikuda sana mkuu?Kuna wanawake kama watatu nlikuwa nawaona humu wakichat usiku sana, ina maana hawana waume? Ndio maana nmejiunga ili niwaulize ,
Hi babeOyoooo
MakubwaKuna wanawake kama watatu nlikuwa nawaona humu wakichat usiku sana, ina maana hawana waume? Ndio maana nmejiunga ili niwaulize ,
Sio kukuda mzuri, ikiwemo To yeye wewe, Winnone na Hope urassa ebu mnijibu maana nahisi nina uhakika hamna waume na nmewadondokea😳mbona umekuja kikuda sana mkuu?
Tena wewe ndio kiongozi waoMakubwa
Unadondokewa na watu watatu 😳Sio kukuda mzuri, ikiwemo To yeye wewe, Winnone na Hope urassa ebu mnijibu maana nahisi nina uhakika hamna waume na nmewadondokea